Open top menu
Ijumaa, 12 Mei 2017


Mkuu wa mkoa wa manyara mh Joel Bendera amewataka wananchi wa mji mdogo wa mererani kutuza mazingira kwa kupanda mti ili kuondokana na tatizo la mvua ambalo litasababisha njaa kitaifa
Mkuu wa mkoa manyara mh Joel Bendera akipanda mti katika shele ya sekondari Mirerani B.W.Mkapa
 
Akizungumza na wananchi katika  ziara yake ya siku moja katika mji mdogo wa mirerani na mh joel benderaa amesema lazima nchi ijifunze kwa kupitia manyara kwamba mazingira ni muhimu hivyo amezindua kampeni ya kupanda miti katika shule ya sekondari ya mireran b.w mkapa yenye ushindani wakutuza mti
   Aidha kampuni ya Tanzanite one imeanzisha kampeni ya upandaji miti kwa kupanda miche ya miti elfu moja na mia mbili kama shamba darasa,katika shule ya sekondari mirerani benjamini wiliamu mkapa na kuwataka wanafunzi kutunza miti hiyo kwa ushindani na mshindi wakwanza mpaka watatu atapewa zawadi ambapo lengo ni kutunza mazingira
Mkurugenzi Mbia Tanzanite One ndg Faisal Juna Shahbhai akipanda mti katika shule ya sekondari Mirerani B.W.Mkapa 
Kwa upande wa wawalimu na wanafunzi wa shule ya sekondari wanashukuru ujio wa mkuu wa mkoa wa manyara na uongozi wa tanzanite one katika shule yao kwa kutaa baadhi ya changamoto zilizokuwa zinawakabili ambapo moja ni ujenzi wa fensi katika shule hiyo ili kudhibiti mifugo kuingia ndani ya shule
Mkuu wa mkoa wa mananyara mh joel bendera amefanya ziara yake ya siku moja huko mirerani kwa kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule ya msingi songambele, uzinduzi wa kampeni ya kupanda mitikatika shule ya mireran b.w.mkapa, ukaguzi wa kituo cha mama na mototo katika kituo cha afya mirerani na kupongeza shughuli za makimaendeleo zinazoendelea katika mji huoo
Tagged
Different Themes
Written by Lovely

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments